Mauaji ya kutisha yamezidi kuitikisa kahama baada ya Bi Tabu Mtema,
miaka 33 mkazi wa kijiji cha BUSULWANGILI Kahama Shinyanga kuuawa kwa
kukatwakatwa mapanga na watu wasiojulikana baada ya watu hao kuvamia
nyumbani kwa marehemu na kumjeruhi vibaya kwa mapanga.
Tukio hilo limetokea katika kijiji cha BUSULWANGILI (W) Kahama (M)
Shinyanga jana saa 19:00 nyumbani kwake na watu wasiojulikana ambao pia
watu hao walimjeruhi kichwani mume wa mama huyo kwa kutumia panga...
0 comments:
Post a Comment