Ni baada ya kupost picha akiwa na rafiki zake aunt Ezekiel na Rommy Jons
club huku Rommy Jons akiwa amevaa vazi la kanzu ambalo wengi waliotoa
maoni yao kua hilo vazi (kanzu) si mahali pake hapo na analinajisi ;
JE WEWE UNASEMAJE ? TIZAMA PICHA NA MAONI YA WATU ;
0 comments:
Post a Comment