Facebook

Tuesday, 20 May 2014

Irene Uwoya Amlilia Adamu Kuambiana, Aweka Message Walizochat Kabla Hajafariki

Irene Uwoya Ameguswa sana na Kifo cha Adamu Kuambiana na Kuonyesha machungu aliyonayo kupitia Instagram kwa Kupost jinsi anavyojisikia baada ya kifo chake pamoja na kuweka masage walizochat kabla hajafariki hii inaonyesha ni jinsi gani walikuwa karibu
 Endelea kutembelea katemimethsela.blogspot.com uweze kupata kauli mbalimbali za mastaa kuhusiana na kifo cha Adam Kwambiana

Related Posts:

  • Prof. Jay aalika mashabiki kwenye “Kipi Sijaskia”   Professa Jay amepanga kuifanya video ya hit yake ya ‘Kipi Sijasikia’ aliyomshirikisha Diamond Platinumz, Jumamosi hii (July 12,) na hataki kumuweka mbali shabiki anaependa kazi yake. Profes… Read More
  • PISTORIUS "AZOZANA" NA MTU 'KLABU'   Msemaji wa mwanariadha wa Afrika Kusini anayetuhumiwa kwa mauaji, Oscar Pistorius amesema mwanamichezo huyo alifarakana na mtu mmoja kwenye ukumbi wa starehe mwishoni mwa wiki. Mtafaruku huo ulikuwa kati yake … Read More
  • Nguli wa Filamu India afariki dunia.   Mcheza filamu Zohra Sehgal wa India, maarufu kama mkongwe wa Bollywood, amefariki dunia mjini Delhi akiwa na umri wa miaka 102.  Mkongwe huyo alianza fani yake kama mcheza dansi na baadaye kuingia katika … Read More
  • FIFA yatupilia mbali rufaa ya Suarez.   Fifa imetupilia mbali rufaa ya mshambuliaji wa Uruguay na Liverpool Luis Suarez, ya kupinga adhabu ya miezi minne ya kutokujihusisha na shughuli zozote za kandanda, kwa kosa la kumng'ata Giorgio Chiellini wa Ita… Read More
  • Gazeti lamuomba msamaha nyota wa Filamu.     Gazeti moja la Uingereza limemuomba radhi mwigizaji nyota wa Marekani George Clooney, juu ya tuhuma ilizochapisha kuwa mama wa mchumba wake alikataa asifunge ndoa na mwanae kwa sababu za kidini.  … Read More

0 comments:

Post a Comment