Friday, 16 May 2014
Jack Wolper:Sijawahi Lia eti Nimeachwa Nikamwaga Chozi Sababu ya Mwanaume
STAA wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper amefunguka kuwa tangu aanze kujihusisha na masuala ya mapenzi hajawahi kulia.
Akizungumza na mwanahabari wetu, Wolper ambaye ana muonekano wa ‘kigumu’, alisema siku zote anaamini katika kupambana hivyo hawezi kumlilia mwanaume hata iweje.
“Sijawahi kulia pale nilipoachwa wala kuachana na mwanaume, akili yangu yote inaamini katika kutafuta maisha hivyo siwezi kujirahisisha nikamwaga machozi kwa ishu za mapenzi,” alisema Wolper.
Related Posts:
Kundi la G-Unit laungana upya kama zamani. Kundi maarufu kwenye muziki wa Hiphop linalojumuisha wasanii kama 50 Cent,Llyoid Banks,Young Buck na Tony Yeyo waliwahi kutamba sana kwenye muziki wakiwa kama kundi na solo artist. Baada ya muda waligawanyika baada ya ms… Read More
Hawa ndio Wanamuziki wanaolipwa pesa nyingi zaidi dunianiMatokeo haya ni kwa mujibu wa Mtandao wa Forbes, hawa ndio Wanamuziki 20 waliolipwa malipo ya juu zaidi mnamo mwaka 2013. No. 1: Madonna ($125 million) No. 2: Lady Gaga ($80 million) No. 3: Bon Jovi ($79 m… Read More
Diamond akutana na Rais Jakaya Kikwete huko New York city-Marekani. Mheshimiwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete yupo kwenye safari zake za kikazi na Diamond yupo kwenye safari za show zake huko Marekani. Diamond alipofika Manhattan ndani ya jiji la New York alikuta na Rais Kikwete. Kama … Read More
Picha ya Demu wa Young Killer yashangaza watu baada ya kuacha chuchu wazi Picha hizi zimezua story kwenye mitandao mbali mbali ya kijamii, baada ya Demu wa Rapper anaechipukia kutoka Tz kuonekana akiwa amejimwagia pesa juu ya kifua chake huku sehemu ya chuchu upande mmoja ikiwa wazi.… Read More
Instagram yafuta picha za Uchi Kevin Systrom afisaa mkuu mtendaji wa Instagram Mmoja wa waasisi wa mtandao wa kijamii wa Instagram, amesema kuwa sheria zake kuhusu picha za uchi hazimb… Read More
0 comments:
Post a Comment