Jumba alilofia mfanya biashara wa dawa za kulevya maarufa kama Tony
Montana na baadae kuchezewa filamu ya maisha yake iliyoitwa Scarface
yaingizwa sokoni. Juma hili linaloitwa La casa grande linauzwa dola
milioni 35 za Kimarekani.
Entertainment and Updates
0 comments:
Post a Comment