Facebook

Monday 19 May 2014

Madereva Wagomea na Kukisusa Kituo Kipya cha Daladala Ubungo Mwenge

Wamiliki na madereva wanayofanya safari zake kati ya Ubungo na Mwenge jijini Dar leo wamegomea amri ya kutumia kituo kipya walichoamriwa na serikali kukitumia kilichopo nyuma ya jengo la Mawasiliano Tower, Ubungo jijini Dar. Mwanahabari wetu alitembelea kituo hicho na kukuta mafundi wakiendelea na ujenzi huku kukiwa na marundo ya vifusi. 

 Endelea kutembelea katemimethsela.blogspot.com kupata habari mbalimbali kwa wakati muafaka

0 comments:

Post a Comment