Facebook

Saturday 17 May 2014

Mwangalie Huyu dada Katumia Dawa za Kukuza Makalio, Oneni Zilivyomfanya

Wameshauliwa sana, wameimbiwa saaaana lakini wenye masikio ya kufa ambayo hayasikii dawa wanaendelea kupaka. Dada zetu jaman kama mungu kakuumba na vitako vidogo kama skonzi au ngumi za mtotovumilia tu. Hivi huoni aibu hata kidogo, leo unavitako vidogo kama vibumunda vya bakhresa kufumba na kufumbua una makalio kama umejazwa upepo. Huogopi hata watu watakustukia. Haya sasa kama unapenda hilo, jua na madhara yake pia...mwenzenu amebakisha makalio yaliyoumuka na kuvimba kama viazi vya kuchoma. 
 
Inasikitisha sana endelea kutembelea katemimethsela.blogspot.com uweze kujua mauzauza mbalimbali yanayoendelea katika jamii

0 comments:

Post a Comment