Facebook

Sunday, 18 May 2014

Uholanzi 1-1 Ecuador, RVP atupia...

Photo: Looking forward to our friendly game saturday vs Ecuador
Robin van Persie alifunga Bao safi sana na kuisaidia Netherlands kutoka Sare 1-1 na Ecuador kwenye Mechi ya Kirafiki iliyochezwa huko Holland
Ecuador ndio walitangulia kufunga kupitia Jefferson Montero na Van Persie kusawazisha kwa Shuti safi

MAGOLI:
Netherlands 1
R van Persie Dakika ya 37
Ecuador 1
J Montero Dakika ya 9

Akichezesha Kikosi cha Majaribio, Kocha wa Holland, Louis van Gaal, aliwakosa Wachezaji wake wakubwa Arjen Robben na Wesley Sneijder ambao walikuwa na majukumu na Klabu zao.
VIKOSI:
Netherlands: Cillessen, Janmaat (Verhaegh - 45' ), Kongolo (van Aanholt - 45' ), Martins Indi, de Vrij, Veltman, Clasie (De Guzmán - 45' ), Wijnaldum, Depay,  van Persie (Huntelaar - 79' ), Blind
Ecuador: Banguera, Paredes, Bagüí, Noboa (Gruezo - 61' ), Guagua, Erazo, Antonio Valencia, Castillo (Quiñonez - 72' ), Caicedo (Martínez - 38' ), Rojas (Achilier - 82' ), Montero (Ayoví - 65'
KOMBE la DUNIA
RATIBA-Mechi za Ufunguzi:
[Saa za Bongo]
Alhamisi 12 Juni 2014
KUNDI A
2300 Brazil V Croatia
Ijumaa 13 Juni 2014
1900 Mexico V Cameroon

0 comments:

Post a Comment