Facebook

Friday, 5 September 2014

Mchekeshaji maarufu aaga dunia

Mchekeshaji maarufu nchini Marekani Joan
Rivers amefariki dunia akiwa na umri wa
miaka themanini na na mmoja.

Joan alikuwa amelazwa katika hospitali moja
mjini New York kwa wiki kadhaa sasa
akisumbuliwa na maradhi ya moyo.

Melissa binti wa Joan,Akitangaza juu ya kifo
cha mamake alimuelezea mama yake kua
maishani mwake alikua akipenda kuona watu
wana tabasamu usoni ama vicheko.

Joan River alianza shughuli zake za ucheshi
kama muigizaji wa kawaida tu nusu karne
iliyopita, na anatajwa kua mwanamke maarufu
na bora katika ucheshi jukwaani.

Related Posts:

  • Huu ndio muonekano mpya wa Rihanna Mwana dada mwenye skendo za kila kukicha ame-post picha ikimuonyesha munekano wake wa nywele na hata sura.   Muonekano huo unatumika katika jarida moja linalohusu muziki na maisha ya watu maarufu kwa ujumla.Ri… Read More
  • Baba ajiua kutokana na picha za mwanawe Baba mmoja amejiua baada ya kuona picha za uchi zamwanawe wa kike katika jarida la Playboy nchini Romania. Loredana Chivu alirarua ukurasa uliokuwa na picha yake akiwa 'amepos' katika jarida hilo la Playboy na punde babak… Read More
  • Huu ndio muonekano mpya wa Rihanna Mwana dada mwenye skendo za kila kukicha ame-post picha ikimuonyesha munekano wake wa nywele na hata sura.   Muonekano huo unatumika katika jarida moja linalohusu muziki na maisha ya watu maarufu kwa ujumla.Ri… Read More
  • Huu ndio muonekano mpya wa Rihanna Mwana dada mwenye skendo za kila kukicha ame-post picha ikimuonyesha munekano wake wa nywele na hata sura.   Muonekano huo unatumika katika jarida moja linalohusu muziki na maisha ya watu maarufu kwa ujumla.Ri… Read More
  • Mazishi ya baba wa Peter na Paul -P square yanafanyika leo   Wasanii waakubwa ambao ni mapachaPeter na Paul maarufu kama P-square kutoka Nigeria  wanataraji kumzika baba yao mzazi  Pa Mosses Okoye leo aliefariki november mwaka jana.   Mazishi hayo a… Read More

0 comments:

Post a Comment