Mmiliki wa klabu ya Monaco Dmitry Rybolovlev
yupo katika wakati wa kiuchumi kutokana na
kuwa na kesi ya talaka - mkewe akidai kiasi cha
£2.7billion - huku akidaiwa kodi ya £41m -
inaaminika haya matatizo yaliyopelekea kuamua
kuuza wachezaji wake wakubwa James Rodriguez
na Radamel Falcao.
Friday, 5 September 2014
Sababu iliyopelekea kuuzwa kwa James Rodriguez na Falacao hii hapa.
Related Posts:
Alama ya ulaji ndizi yamponza Rais wa shirikisho la soka Italia. Carlo Tavecchio raisi wa shirikishoa la soka Italia ,lawamani Shirikisho linalo simamia mpira wa soka ulaya,UEFA linania ya kumchunguza rais wa soka aliyechaguliwa wa shirikisho la soka huko Italia Carlo Tavecchio… Read More
Chelsea yazidi kupaa kileleni. Costa ameandikisha bao lake la pili katika ligiku ya Uingereza Mshambulizi wa Uhispania Diego Costa aliifungia Chelsea bao lake la pili katika mechi mbili na kuisaidia the Blues kuilaza Leices… Read More
Alichokisema Gwiji wa Soka,Luis Figo baada ya kufika Tanzania. “Ni mara yangu ya kwanza kuja Tanzania,nimekwishatembea nchi kadhaa Afrika,nimefurahi kuja hapa, naipenda Afrika. Natarajia mchezo mzuri kesho, hata kwa wapinzani wetu pia, kitu muhimu ni kwamba FIFA imefurahia tukio hili,”… Read More
Teknoilojia ya Hali ya Juu;Adidas watoa mpira wenye "SENSA" Kampuni ya adidas wametoa mpra wa miguu ambao una uwezo wa kutoa takwimu za mchezaji na kupeleka kwenye gajaeti za iOS, yaani iPhone,iPad na iPod Touch kwa kutumia app ya Micoach. Mpira huo unajulikana kama Micoach Smart Bal… Read More
Atletico Madrid yaichapa Real Madrid na kutwaa Ubingwa wa SUPERCOPA de ESPANA: Wakicheza katika uwanja wao Estadio Vicente Calderon Atletico Madrid wameifunga Real Madrid goli 1-0 kwenye Mechi ya Marudiano ya Supercopa de Espana na kutwaa Kombe hilo kwa Jumla ya magoli 2-1. Goli la us… Read More
0 comments:
Post a Comment