Hatimaye Marcos Rojo amepata kibali cha
kufanya kazi nchini Uingereza na sasa ataanza
kuitumikia rasmi klabu yake ya Manchester
United kwenye mech dhidi ya QPR
Friday, 5 September 2014
Marcos Rojo rasmi kuitumikia Manchester United
Related Posts:
Taifa Stars yaifunga Zimbabwe 1-0, Boko atupia.... BAO pekee la mshambuliaji, John Raphael Bocco `Adebayor` limeipa ushinda taifa Stars dhidi ya Zimbabwe katika mchezo wa raundi ya awali kabisa kuwania kupangwa hatua ya makundi ya kushindania… Read More
Ubingwa raha:Watu hawakulala mjini Madrid baada ya Atletico kutwaa ubingwa La Liga.. FUNIKA mbaya! maelfu ya mashabiki wa Atletico Madrid wameshangilia usiku kucha baada ya timu yao kubeba ubingwa wa La Liga kwa mara ya kwanza ndani ya miaka 18 Mashabiki hao walifunga mitaa ya mji mk… Read More
Mascherano "Ubabe wa Barcelona umefikia kikomo" KIUNGO wa Barcelona, Javier Mascherano amekiri kuwa ufalme wa klabu hiyo katika soka la Hispania na Ulaya kwa ujumla umefika kikomo.Wakatalunya walishindwa kutetea ubingwa wao wa La Liga baada y… Read More
Rais asajiliwa kucheza kiungo cha kati huko Bolivia.... Rais Morales ni shabiki sugu wa kandanda Hebu tafakari rais wa nchi kuchezea klabu ya kandanda inayoshiriki ligi ya taifa ya daraja … Read More
Cerezo "Atletico itakubmukwa daima" RAIS wa Atletico Madrid, Enrique Cerezo amesema kikosi cha sasa cha klabu hii kitakumbukwa daima baada ya kuipiga chini Barcelona na kutwa… Read More
0 comments:
Post a Comment