KAMALI inapoteza sana soka letu.........IKO HIVI:-
Mwaka jana wakati michuano ya Challenge inaendelea huko Kenya Kaburu alionekana huko akiwa karibu na Mshambuliaji Emmanuel Okwi,baada ya muda tukasikia Okwi amesaini Yanga nyundo mbili na nusu..............
PICHA linaendelea,awali tujue kuwa Charles Magari,Kaburu a.k.a Perez na Bin khleb ni marafiki sana(wana sana) na wanashirikiana kibiashara toka Kaburu akiwa na Malinzi mkubwa kama mfanyakazi mpaka sasa yuko na kampuni yake binafsi,mchoro ukachorwa ili kupiga mpunga kwa Manji na ndio hapo ikawa sababu kubwa ya Yusuph Manji kusema hatogombea tena na sio kugombea tu jamaa hataki hata kujihusisha na Yanga simply because alitaraji kupata support kwa viongozi wanzake matokeo yake wakamsaliti(wanamsnitch)......
.PICHA HALIJAISHA,jamaa wakasuka mpango ukakaa sawa wakapiga dola laki mbili za usajili wa Emmanuel Okwi, kikatumia kibali cha FIFA cha Emmanuel Okwi kucheza timu yoyote kwa miezi sita kulinda kipaji chake.
Wakatengenezwa mawakala kupigia debe hilo ndo maana akaibuka Salehe Ally kutoka Unguja wewe kama mdau wa soka jiulize alimuuza mchezaji gani nje huyo bwana wakala? ingekuwa wakili Ndumbaro ningekubali ila huyu hapana,basi bwana jamaa wakamsanisha miaka miwili na nusu kwa masharti ya kuuficha ukweli kuwa atacheza Yanga kwa kipindi ambacho kimebaki katika ile miezi sita ya FIFA baada ya hapo aendele na maisha yake.
Yes!!!! muda umeisha kapiga mpunga wake juzi Perez(Bin Khleb) kamrudisha kwao mwezi wa tisa ligi ikianza anarudishiwa jezi yake no 25 pale Msimbazi huku pia wachezaji wa kimataifa wakiongezwa mpaka kufikia 7 kumlinda Azam mwenye wachezaji saba wa kimataifa mpaka sasa ligi itakuwa na timu 16 kumbeba Jmhuri Kiwelu 'Julio' mwenye ushahidi mwingi juu ya kupanda kwa Stand United ya mkoani Shinyanga na walishasikia jamaa anataka kwenda FIFA.
KAMALI!!!!..RUSHWA!! KAMALI !!RUSHWA!!! KAMALI !! V`INAUA SOKA LETUUUUUUUU
Endelea kutembelea katemimethsela.blogspot.com uweze kujua maovu mbalimbali yaliyojificha yanayofanyika kwenye soka letu hapa nchini
Endelea kutembelea katemimethsela.blogspot.com uweze kujua maovu mbalimbali yaliyojificha yanayofanyika kwenye soka letu hapa nchini
0 comments:
Post a Comment