Unaikumbuka ile skendo ya wanafunzi wa chuo cha IFM kujirekodi wakivunja amri ya sita na kusambaa katika mitandao yote ya kijamii.
Kumbe aliyehusika kikamilifu kurekodi video na kupiga picha hizo alikuwa ni kijana huyo hapo juu anaitwa Elimringi Moshi,mwenye miaka 27 mwanafunzi wa mwaka wa 3 katika Chuo hicho
Alimrekodi msichana ambaye inasadikika alikuwa mpenzi wake wakivunja amri ya sita huku yeye mwenyewe hakuonekana kwenye video hizo ambazo zilikuwa mbili,moja wakivunja amri ya sita na nyingine alirekodiwa msichana huyo akiwa mtupu (Uchi wa mnyama) akianza kuvaa nguo na picha alizopigwa msichana huyo akiwa uchi wa mnyama.
Baada ya tukio hilo la kijana huyo kuvujisha video na picha za msichana huyo
Elimringi Moshi ameshalala rumande siku 2 huku kesi iko mahakamani inaendelea.
Kitendo alichokifanya kijana huyu si kizuri huku akiwa ameshaharibu dira ya msichana huyo na kutengwa na jamii kutokana na uchafu walioufanya..Inabidi serikali ishughulikie kuweza kudhibiti uchafu huu unaoendelea vyuo mbalimbali kwani tayari video mbalimbali zimeshavuja kutoka vyuo mbalimbali nchini na kuharibu maadili katika jamii na kutengeneza kizazi kisichokuwa na maadili.
Fungua Hapa kama haukuipata skendo hii
Fungua Hapa kama haukuipata skendo hii
Endelea kutembelea katemimethsela.blogspot.com uweze kujua kila kitakachukuwa kinaendelea kuhusiana na kesi hii ya kijana huyu aliyemrekodi mpenzi wake wakati wanajivinjari na kuvunja amri ya sita.
0 comments:
Post a Comment