Facebook

Monday, 19 May 2014

Miss Atupia Picha Za Nusu Utupu Instagram Aambulia Matusi!

MAJANGA! Mshiriki wa Miss Kiswahili 2009, Rehema Fabian ameonekana hamnazo baada ya kutupia picha ya nusu utupu katika mtandao wa kijamii wa Instagram kisha kuambulia mvua ya matusi.

Picha hiyo ilimuonesha akiwa amejiziba usoni na kuacha wazi sehemu kubwa ya mwili wake ambapo baadhi ya wafuasi wa mtandao huo walimkalisha kwa kumpa za chembe..

“Huwezi kuwa mtu unayejiheshimu katika jamii halafu ukatupia picha ya namna hii katika mtandao wa kijamii,” alichangia mmoja wa wafuasi wa Instagram

Endelea kutembelea katemimethsela.blogspot.com kupata stori mbalimbali zinazowahusu mastaa

0 comments:

Post a Comment