Facebook

Monday, 19 May 2014

Ubingwa raha:Watu hawakulala mjini Madrid baada ya Atletico kutwaa ubingwa La Liga..


Filling the streets: Atletico Madrid fans hit the Neptuno fountain to celebrate after their club won the La Liga title by drawing 1-1 with Barcelona in the Nou Camp

FUNIKA mbaya! maelfu ya mashabiki wa Atletico Madrid wameshangilia usiku kucha baada ya timu yao kubeba ubingwa wa La Liga kwa mara ya kwanza ndani ya miaka 18
Mashabiki hao walifunga mitaa ya mji mkuu wa Hispania, Madrid ambapo ndio makao makuu ya Atletico Madrid huku wakimshangilia kocha mkuu, Diego Simeone.
Mastermind: Diego Simeone is hurled into the air by Atletico players after securing the title
Jubilant: Atletico fans were lighting flares and celebrating late into the night
Atletico supporters celebrated long into the night

0 comments:

Post a Comment