Facebook

Monday, 19 May 2014

Ubalozi wa Marekani Kuhamishia Shughuli Zake Tanzania Kutoka Kenya!

Serikali ya Marekani imesema itapunguza wafanyakazi katika ubalozi wake nchini Kenya kutokana na kitisho cha ugaidi.


Marekani imechukua hatua hiyo baada ya vitisho na mashambulizi ya kigaidi kuzidi kupamba moto nchini Kenya, ambapo jana watu 10 walikufa na wengine wengi kujeruhiwa kutoana na bomu lililolipuka jijini Nairobi.

Marekani imesema itahamishia baadhi y shughuli zake nchini Tanzania au Ethiaopia.


Ugaidi ni hatari sana. Haya makundi yanayozidi kuchanua kila siku sijui Dunia inaelekea wapi? Endelea kutembelea katemimethsela.blogspot,com uweze kujua kila kitakachokuwa kinajiri kuhusiana na sakata hilo

0 comments:

Post a Comment