Ajali kubwa ya moto imetokea jana katika Chuo kikuu cha Dodoma.katika kitivo cha Humanities karibu na hosteli za Wasichana.
Wanafunzi wanaoishi katika hosteli hizo waliona moto mkubwa umewaka kutoka katika vichaka vilivyo karibu na Hostel zao lakini Chanzo cha moto huo hadi hivi sasa hakijajulikana.
Tumehamia
katika site hii mpya na bado tuko katika maboresho,hii ni katika hatua za awali
kabisa kuiboresha site yetu na utoaji wa habari na burudani.Vitu vingi
vitaonekana katika site hii mpya hivi karibuni.Endelea kutembelea www.bantutz.com
0 comments:
Post a Comment