Facebook

Sunday, 22 June 2014

Zitambue simu fake na Original SAMSUNG GALAXY S3

maxresdefault.jpg


Mambo vipi wadau, naamini tuko salama sote. Leo ningependa kushare nanyi kitu ambacho kimezoeleka sana kuwanacho kwenye mikono yetu lakini kuna kipindi ukikihitaji kile kilicho bora lazima utaikumbuka hii POST.

Kwa wale wanaohitaji ili mradi simu basi wao hawata ona shida sana ila kwa wale ambaoo wao vitu fake ni shida kwako basii post inawahusu sana.
Fake-Galaxy-S-III.jpg
leo tunaelekezana utofauti mkubwa uliopo katika Samsung Galaxy S3 fake na ile original.
galaxy-s3-dubai.jpg
Ama kweli kwa sasa Samsung galaxy S3 and S4 zimeshika sana soko.
Kutokana na samsung kuwa nyingi na kukubalika sana katika soko la biashara sasa tunakuta na samsung fake zipo sokoni.
Ni jinsi gani unaweza kutambua Samsung Galaxy S3 au S4 yako ni fake au original?
Hili ndio swali linalonifanya muda huu kuingia hapa na kuandika mada hii,
maxresdefault.jpg

Samsung-Galaxy-S31.jpg

Sio jamboo rahisi sana kutambua kuwa samsung yako ni fake kwa kuwa fake S3 inafanana sana na original.
Sasa wacha tuelezane kuwa original inavitu gani na fake ina utofauti gani
galaxy.png


Labda kwa udadavuzi wa kina ili niweke sawa hapa kwa kile nilichokiandika hapo juu kwenye table ya comparison kati yya original na fake

1. Ile fake Galaxy S3 ni heavier
2. Fake ni less compact na dimension zake ni tofauti na Original
3. Camera ya ile Fake isnt as good
4. Pia Galaxy fake inakuwa running katika medocre ya version ya Android 4.0
5. Pia technologia iliyotumika katika kutengeneza fake galaxy kwa kioo chake sio ya AMOLED au Corning Gorilla Glass
6. Pia Galaxy fake inakuwa hairuhusu geo-tagging, face recognition, smile detection, optical stabilisation images na Video capturing in HD
7. Pia performance ya Processor inayotumika katika Galaxy fake ni Worse
8. Piia hizi Galaxy fake doesn’t offer any smart functions switch as eye tracking au smart stay
9. Pia kitu kingine rahisi zaidi cha kugunduka hizi fake ni memory yake inakuwa ndogo (internal)
10. Pia katika hizi fake Lock screen zake zinakuwa hazina Ripple effect
11. Pia hizi fake zinakuwa hazi-include Play Store.
 
Tumehamia katika site hii mpya na bado tuko katika maboresho,hii ni katika hatua za awali kabisa kuiboresha site yetu na utoaji wa habari na burudani.Vitu vingi vitaonekana katika site hii mpya hivi karibuni.Endelea kutembelea www.bantutz.com
 

0 comments:

Post a Comment