Facebook

Saturday, 21 June 2014

BREAKING NEWS:Ajali mbaya ya gari yatokea Lugalo,20 wafariki papo hapo..Tahadhari..Picha sio nzuri...


Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kwamba....ajali mbaya ya gari la abiri (daladala) imetokea leo hii maeneo ya Lugalo..kwenye kibao cha kuelekea hospitali ya Lugalo baada ya gari kubeba mafuta kugongana na gari hiyo.
 Abiria wengi wapatao 20 waliokuwa katika gari hiyo wamepoteza maisha papo hapo.




Endelea kutembelea www.bantutz.com kufahamu kila kitakachokuwa kinaendelea kuhusiana na ajali hiyuo..vilevile uweze kupata habari mbalimbali.


Tumehamia katika site hii mpya na bado tuko katika maboresho,hii ni katika hatua za awali kabisa kuiboresha site yetu na utoaji wa habari na burudani.Vitu vingi vitaonekana katika site hii mpya hivi karibuni.Endelea kutembelea www.bantutz.com

0 comments:

Post a Comment