Facebook

Sunday, 22 June 2014

Jinsi ya Kupata Settings za Internet kwa Simu/Tablet/Ipad yako -TIGO/VODACOM Tanzania


 
Mambo vp wadau, naamini tuko salama sote. Leo ningependa kushare nanyi kitu ambacho kimezoeleka sana lakini kuna kipindi ukikihitaji lazima utaikumbuka hii POST.

mitandao ya Simu hapa Tanzania huwa ina mfumo wa kutuma settings za internet kwa simu, mara nyingi settings hizi huwa zinakuwa zinasumbua sumbua sana kukaa na kufanya kazi kama kawaida. Basi kwa mtandao wa TIGO/VODACOM tunaimaliza habari yake hapa:


nenda kwa sehemu ya network set up kwa simu yako wakati ukiwa unatengeneza APN



basi ingiza details hizi
:unsure: :unsure: :

TIGO SETTINGS


SET NAME (access point name): tigowap

ACCESS NAME: wap

AUTHENTICATION: normal

HOME URL/HOMEPAGE: google.com

ADDRESS: 10.168.20.80

PORT: 8080




VODACOM SETTINGS


SET NAME (access point name): Vodacom WAP

ACCESS NAME: wap

AUTHENTICATION: normal

HOME URL/HOMEPAGE: google.com

ADDRESS: 10.154.0.8

PORT: 9401



Umeziona Mdau??? Hizi apo Juu
:whistle: :whistle: :whistle:


ENJOY!
:woohoo: :woohoo: :woohoo: Kama unazo za airtel, zantel na mitandao yetu mingine...comment apoo chini...Kama post imekusaidia THANK YOU
 
Source:Complex System 

0 comments:

Post a Comment