Facebook

Saturday, 7 June 2014

Baada ya dili la Beats, Dr Dre atumia dola millioni 40 kununua jumba hili la ajabu..

8Ukikamilisha dili la dola billion 3 utafanya kitu gani cha kwanza kabisa kutokana na hizo pesa ulizopata. Majibu yanaweza kuwa ni mengi kutokana na mawazo ya kila mtu.
Dr Dre ambaye amekamilisha dili la kuuza ya Beats kwa kampuni ya Apple ametumia zaidi ya dola million 40 kununua jumba la kifahari kutoka kwa modo tajiri Gisele Bundchen.
Jumba hilo lina vyumba vya kulala 8, sehemu 6 za kuegesha magari, mabafu 9, gym,bwawa kubwa la kuogelea,maporomoko ya maji na sehemu nyingine. Jumla eneo zima la nyumba lina square feet karibia 14,000.
Hicho ndicho alichofanya Dr Dre baada ya kupata pesa nyingi kutokana na dili la Beats, wewe ungefanya nini?
7
6
5
4
3
1
2

Tuko katika maboresho hivi karibuni blog hii itakuwa ni site ambayo itaitwa www.bantutz.com ni katika hatua za kuboresha huduma zetu za kutoa habari na burudani.Tutakuja katika muonekano mpya na bora zaidi.Vitu vizuri vipya usivyotarajia utaviona na kufurahia kupitia www.bantutz.com....

Related Posts:

  • JUSTIN BEIBER ASHITAKIWA KWA UENDESHAJI MBAYA WA GARI Ni jumanne nyingine,huku skendo nyingine ya Justin Beiber ikigonga vichwa vya watu mbalimbali. Polisi wa Canada wanasema Justin ameshitakiwa kwa kuendesha gari vibaya pia kutoa lugha chafu. Hii inafuatia baada ya gari lake … Read More
  • Mtanangazaji maarufu CNN "abwaga manyanga"Mtangazaji wa TV Piers Morgan ameacha kazi katika shirika la habari la Marekani la CNN, licha ya kupewa nafasi ya kuongeza mkataba wake. Morgan ame tweet akisema anakwenda "kujaribu mambo mengine mapya" baada ya wakuu wa … Read More
  • Diamond awaomba mashabiki kumpigia kura Tuzo za Channel O    Ni hatua kubwa anazozidi kuzipiga msanii wa kizazi kipya nchini,Diamond Platnumz,ambaye hivi sasa anaipeperusha vyema bendera ya Taifa hili. Ni katika hatua nyingine ambayo mafanikio yanazidi kusogea,Diamond kup… Read More
  • "GETO" LA BALOTELLI?Mario Balotelli ndio kwanza amerejea England, kwa mara ya pili, lakini inaonekana haijamchukua muda mrefu kugonga vichwa vya habari, safari hii kwa kuonesha "ladha" ya mitindo na mambo anayopenda. Mchezaji huyo wa Liverpool a… Read More
  • Mchekeshaji maarufu aaga duniaMchekeshaji maarufu nchini Marekani Joan Rivers amefariki dunia akiwa na umri wa miaka themanini na na mmoja. Joan alikuwa amelazwa katika hospitali moja mjini New York kwa wiki kadhaa sasa akisumbuliwa na maradhi ya moyo. Me… Read More

0 comments:

Post a Comment