Wiki chache zilizopita wakazi wa Kinondoni walimuua Mamba ambaye alikua akiishi karibu na bwana maeneo hayo ya Kinondoni block 41 walichoshwa nae wakaamua kumuua,sasa baada ya mamba hapa kuna stori ya Chatu aliyeuwawa Arusha.
Chatu huyo aliuwawa na wananchi ambaye alionekana maeneo ya Sakina Arusha na akiwa amefungwa kitambaa chenye maaandishi mekundu.
Wakazi wa eneo la Sakina wamepatwa na mshtuko mkubwa Kikubwa zaidi kwa Chatu huyo ni kuwa inasemekana alitokea ndani aliuwawa na Wananchi wa kinondoni baada ya kuonekana
Mara baada ya kuonekana kwa Chatu huyo wananchi walijipanga kisha wakafanikiwa kumuua ingawa kulitokea utata baada ya Mama mwenye nyumba aliyetokea Chatu huyo akipinga kutokuuliwa kwa Chatu huyo,Chatu huyo aliuwawa kisha akakatwa vipande vipande.
Shuhuda wetu aliye Arusha ameripoti kama ifuatavyo
" Nyumban kwa mtu katokea chatu kafungwa kitambaa cheupe kimeandikwa quran ndani ya geti wafanyakazi wakakimbia na kufungua geti ghafla mwenye nyumba akapigiwa simu akasema asiuwawe ni mtoto wake wa kwanza....
Chatu limetokea chumbani kwa huyo mama ghafla likaenda kwenye maua halijamdhuru mtu wanajitahidi kuliua wameshindwa!"
Angali video ya tukio zima hapa chini
Angalia video kipindi wananchi mbalimbali walipojitokeza kumuua nyoka huyo
Tuko katika maboresho hivi karibuni
blog hii itakuwa ni site ambayo itaitwa www.bantutz.com ni katika hatua za
kuboresha huduma zetu za kutoa habari,tutakuja katika muonekano mpya na bora
zaidi.
0 comments:
Post a Comment