David
Villa na Frank Lampard wamejiunga na New York FC inayoshiriki ligi ya
Marekani - timu hiyo inamilikiwa na mmiliki wa Manchester City Sheikh
Mansour. Wachezaji hawa wawili leo walionekana katika hospital ya
Bridgewater iliyopo jijini Manchester wakifanya vipimo vya afya.
Endelea kutembelea katemimethsela.blogspor.com uweze kupata taarifa tetesi mbalimbali za usajili barani Ulaya.
0 comments:
Post a Comment