Kiapo:Modo maarufu Bongo, Hamisa Mobeto amefunguka kuwa katika maisha yake, kamwe hawezi kushea na mwigizaji Wema .
Modo maarufu Bongo , Hamisa Mobeto.
Hamisa alisema watu wamekuwa wakimkosea kumtaja kuwa anaweza kutoka na Diamond Platnumz wakati hawezi kufanya hivyo hata iweje !
“Siwezi kushea penzi na Wema hata siku moja, niaminini, nina maisha
yangu mengine kabisa wapo wanaoweza kufanya hivyo lakini si mimi , ”
alisema Hamisa.
Tumehamia
katika site hii mpya na bado tuko katika maboresho,hii ni katika hatua za awali
kabisa kuiboresha site yetu na utoaji wa habari na burudani.Vitu vingi
vitaonekana katika site hii mpya hivi karibuni.Endelea kutembelea www.bantutz.com
0 comments:
Post a Comment