Bingwa wa zamani wa mbio za magari ya langalanga Michael Schumacher
ametoka hospitali na hayupo katika hali ya kutojitambua tena, kwa mujibu
wa familia yake.
Mjerumani huyo anaendelea na matibabu katika eneo ambalo halijatajwa.
Schumacher aliwekwa katika hali ya kupoteza fahamu kwa njia za kitabibu baada ya kupata majeraha makubwa kichwani katika ajali ya mchezo wa kuteleza kwenye barafu mwaka jana.

Tumehamia
katika site hii mpya na bado tuko katika maboresho,hii ni katika hatua za awali
kabisa kuiboresha site yetu na utoaji wa habari na burudani.Vitu vingi
vitaonekana katika site hii mpya hivi karibuni.Endelea kutembelea www.bantutz.com
0 comments:
Post a Comment