Majambazi waliingia kwenye duka moja la kubadilishia fedha Clock tower karibu na house of wine Arusha mjini ambapo kifo cha huyu ndugu kilitokana na yeye kupiga kelele baada ya kuona majambazi hao wakitenda uhalifu.
Japo nasubiria ripoti kamili ya Polisi leo, taarifa za mwanzo zinasema Marehemu alipiga kelele hizo muda mfupi tu baada ya kutoka kanisani na akawa anasubiri watoto wake kwenye eneo la tukio ila alipoona dada ndani ya duka kavamiwa ndio akaanza kupiga kelele za kuomba msaada.
Tuko katika maboresho hivi karibuni blog hii itakuwa ni site
ambayo itaitwa www.bantutz.com ni katika
hatua za kuboresha huduma zetu za kutoa habari,tutakuja katika muonekano mpya
na bora zaidi.
0 comments:
Post a Comment