Alisema,
"WHY IVAN???
Mama wa mtoto huyu alishafiwa na baba yake miaka mingi ya nyuma!! Baba wa mtoto huyu alishafiwa na baba yake miaka mingi ya nyuma!! SO MTOTO HUYU HANA BABU HATA MMOJA KWA PANDE ZOTE MBILI!! SO BIBI ZAKE MTOTO HUYU HAWANA WAUME ZAO!! SO WAZAZI WA MTOTO HUYU HAWANA BABA ZAO!! Na ndio maana alipozaliwa kila mtu alifurahi kuwa amezaliwa MWANAUME ili aje azibe PENGO la hao babu zake...... Yaani mimi niliona ndiyo BABA yangu huyu amerudi tena... Na mama yangu aliamini huyu ndiye MUME wake amerudi tena.... Lakini mama wa mtoto huyu pia alisadiki yakuwa huyu ndiye BABA yake amerudi tena... Na kama haitoshi pia mama yake na mama wa mtoto huyu, yani bibi yake alisema huyu ndiyo MUME wangu amerudi tena.... HAKIKA KILA MTU ALIMUHITAJI NA KUMFURAHIA SAAAANAA!! Basi niliomba muda wa siku kadhaa nimtaftie jina litakalompendeza mtoto huyu.... Ndipo nikafikiri sana na kuona kwakuwa kila mtu kati ya sisi wazazi wake...yaani mimi na mama yake, pamoja na bibi zake yaani mama yangu na mama mkwe wangu wote TUNAMUHITAJI...basi mtoto huyu awe wa kila mtu sote WANNE!! NDIPO NIKAAMUA NIMUITE IVAN YAANI MAANA YAKE NI ZAWADI KUTOKA KWA MUNGU!! "A GIFT FROM GOD" Na ili awe ni wa kila mmoja wetu...basi kila mmoja wetu atoe herufi moja ya mwanzo ya jina lake ili tupate jina la mtoto huyu!! Basi ikawa hivyo... I.V.A.N :-
I.........IBRAHIM(Baba yake)
V........VERONICA(Bibi yake kwa baba)
A.........AYSHA(Bibi yake kwa mama)
N........NANCY( Mama yake mzazi?
Ndiyo maana akaitwa I.V A.N A Gift from God!!! Roma jr #Ivan# # Ivan# #Ivan# Its Good to 'v a KID But it z good good to be a KID!! Says Roma!! Ouuuuu!!
Tuko katika maboresho hivi karibuni
blog hii itakuwa ni site ambayo itaitwa www.bantutz.com ni katika hatua za kuboresha huduma zetu za
kutoa habari,tutakuja katika muonekano mpya na bora zaidi.
0 comments:
Post a Comment