Facebook

Sunday, 1 June 2014

Venessa Mdee afunguka kulichopelekea kutokufanya Kipindi cha The One Show,Marehemu George Tyson atajwa

Venessa Mdee hajawai kusema sababu ya kuacha kufanya The One show ambayo alianza hadi ku-shoot. Hivi sasa amesema sababu hiyo akimhusisha George Tyson kama mtu aliyempa moyo kwenye maamuzi yake
Soma Hapa Chini:
Endelea kutembelea katemimethsela.blogspot.com kupata habari mbalimbali za wasanii kwa wakati na muda muafaka.

0 comments:

Post a Comment