Mtu 1 amefariki na wengine kujeruhiwa baada ya kitu kinachosadikiwa kuwa bomu, kurushwa karibu na msikiti, darajani Zanzibar.
Kuna taarifa ya kutokea mlipuko na mlio mkubwa mithili ya bomu umetokea
maeneo ya Darajani karibu na msikiti na kujeruhi Wahadhiri waliokuwepo
katika msikiti wa Darajani mara baada ya kumalizika Sala ya Isha.
Mlipuko huo unasemekana umetokea baada gari ambalo lililopita mbio na
kurusha kitu kinachosadikiwa kuwa ni bomu kwenye gari ambalo
wangelitumia wahadhiri waliokuwa katika Muhaadhara ndani ya Msikiti
Kuna taarifa kwamba mtu mmoja mpaka sasa amepoteza maisha.
Hivi
sasa tunahamia katika site yetu mpya inayoitwa www.bantutz.com
ni katika kuboresha huduma zetu za kutoa habari za uhakika na burudani
0 comments:
Post a Comment