Kiongozi wa kundi la Boko Haram nchini Nigeria
Kiongozi mmoja wa kanisa la
kianglikana anayehusika katika majadiliano ya kuwaachilia huru mamia ya
wasichana waliotekwa nyara nchini Nigeria amesema kuwa wengi wao
wanazuiliwa nje ya taifa hilo katika kambi tatu tofauti.
Daktari Steven Davis ambaye ni raia wa Australia
amesema kwamba wenzake waliwaona baadhi ya wasichana hao ambao
walikuwa wakioga na upande mwengine kuwapikia waliowateka kutoka kwa
kundi la wanamgmbo wa Boko Haram.Davis amesema kuwa majadiliano ya kutaka kuwachiliwa kwa wasichana hao karibia yafue dafu kabla ya baadhi ya makamanda wa kundi hilo kulipinga wazo hilo dakika za mwisho wakihofia kukamatwa.
Amesema juhudi zozote za kuwanusuru wasichana hao kwa nguvu hazitafua dafu.
Tuko katika maboresho hivi karibuni
blog hii itakuwa ni site ambayo itaitwa www.bantutz.com ni katika hatua za
kuboresha huduma zetu za kutoa habari na burudani.Tutakuja katika muonekano
mpya na bora zaidi.Vitu vizuri vipya usivyotarajia utaviona na kufurahia
kupitia www.bantutz.com....
0 comments:
Post a Comment