Facebook

Tuesday, 17 June 2014

Ciara aonesha kwa mara ya kwanza picha nzima za mtoto wake aliyezaa na rapper Future siku ya Father’s Day

Future-and-Ciara
 Ciara alitumia siku ya baba ‘Father’s Day’ kuonesha kwa mara ya kwanza picha nzima za mtoto wake aliyezaa na rapper Future.

Jana Juni 15 mwimbaji huyo amepost kwenye Instagram picha mbili za mtoto wake mwenye umri wa mwezi mmoja. Katika picha ya kwanza aliandika ujumbe kwa mchumba wake Fature
Ciara1
“From The Moment Baby Future Arrived, He Was Holding Your Hand So Tight, He Knew You Were Dad. Seeing That Melted My Heart… When I Look At Him, I See You Shining Through, And That’s One Of The Most Beautiful Things Ever! You Are Truly One Of The
Realist, Most Caring, Hard Working, Loving Dads In The World, and I’m So Proud Of You.I Love You. Happy Fathers Day @Future.
Katika picha ya pili iliyomuonesha vizuri mtoto wake aliandika, “Hey Dad aka Big @Future. Baby Future Loves You. #HappyFathersDay
Ciara-tena

Tumehamia katika site hii mpya na bado tuko katika maboresho,hii ni katika hatua za awali kabisa kuiboresha site yetu na utoaji wa habari na burudani.Vitu vingi vitaonekana katika site hii mpya hivi karibuni.Endelea kutembelea www.bantutz.com

0 comments:

Post a Comment