Baada ya kugeuza noti za buku 10 kuwa shuka mrembo wa rapper‘Mrs
Supastaa’ wa Young Killer aitwaye Halimaty ameendelea kumake headlines kwa
picha zake kwenye mtandao wa Instagram. Na sasa ameamua kuwaonesha
followers wake umbo lake lililomfanya apate cheo cha ‘Umrs Supastaa’
Tuko katika maboresho hivi karibuni
blog hii itakuwa ni site ambayo itaitwa www.bantutz.com ni katika hatua za
kuboresha huduma zetu za kutoa habari na burudani.Tutakuja katika muonekano
mpya na bora zaidi.Vitu vizuri vipya usivyotarajia utaviona na kufurahia
kupitia www.bantutz.com....
0 comments:
Post a Comment