Kama wasanii wengine wakubwa duniani, account ya Twitter ya Diamond imekuwa verified jana hii June 6.
Diamond sasa ni mmiliki halali wa account hiyo itakayokuwa ikimtambulisha duniani kote na mashabiki zake kuweza kumtamua kwa haraka, ukiringanisha na account zingine kibao ambazo zimefunguliwa zenye jina lake

Tuko katika maboresho hivi karibuni
blog hii itakuwa ni site ambayo itaitwa www.bantutz.com ni katika hatua za
kuboresha huduma zetu za kutoa habari,tutakuja katika muonekano mpya na bora
zaidi.
0 comments:
Post a Comment