Facebook

Saturday, 7 June 2014

Huyu ndiye Mtoto wa kike wa R Kelly aliyejibadili kuwa mvulana..!.

Huu ni muonekano wa sasa wa Jaya aka Jay:
Hata hivyo, ameona bado hajachelewa na amebadili muonekano na aina ya maisha yake. Jay Kelly ni

miongoni mwa watoto watatu wa R Kelyy aliozaa na Andrea. Wengine ni Joann Kelly na Robert Kelly Jr.



Dunia inasurprises nyingi, kuna watu hawapendi muonekano wao na hufanya juu chini hata kufanya upasuaji ili wawe na sura ya mvuto lakini wapo wengine ambao hawapendi kabisa jinsia waliyopewa na Mungu.
 
Tuko katika maboresho hivi karibuni blog hii itakuwa ni site ambayo itaitwa www.bantutz.com ni katika hatua za kuboresha huduma zetu za kutoa habari,tutakuja katika muonekano mpya na bora zaidi.

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment