Maisha ya tembo wa Afrika yako hatarini, huku ikidaiwa kuwa zaidi ya tembo 20,000 waliuawa mwaka 2013, imeeleza ripoti.
Ofisi ya Mkutano dhidi ya Biashara ya Kimataifa ya Viungo Hatari (Cites) ilieleza kuwa kiwango cha ujangili kilikuwa mbali na kiasi cha kuzaliwa kwa tembo.
Hata hivyo, ripoti ilieleza idadi ya ujangili umeshuka haraka ukilinganisha na miaka miwili iliyopita.
Muungano wa mataifa halifu yalijitokeza kuhusika katika biashara, iliongeza.
Cites, yenye makao makuu Geneva, inahusika na kuratibu biashara ya kimataifa kwa zaidi ya viungo 35,000 vya mimea na wanyama,

Tumehamia
katika site hii mpya na bado tuko katika maboresho,hii ni katika hatua za awali
kabisa kuiboresha site yetu na utoaji wa habari na burudani.Vitu vingi
vitaonekana katika site hii mpya hivi karibuni.Endelea kutembelea www.bantutz.com
0 comments:
Post a Comment