Mama-wa Marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa amemchimba mkwara mzito
mdogo wa marehemu, Seth Bosco baada ya kuona amefanya kosa na kuamua
kumtishia kuwa atamfuta kwenye Kampuni ya Kanumba The Great.
Mama huyo pasipo kuweka wazi moja kwa moja tatizo, alisema kuwa kuna
kosa kubwa Seth alilifanya na alishindwa kulivumilia hivyo kumuonya kuwa
atamuondoa kwenye kampuni.“Ni juzi tu amefika nyumbani kwangu kuniomba
msamaha nimemsamehe kama mtoto ingawa kwenye kampuni hatashiriki kwa
sasa kwani ameanza kazi zake nyingine,” alisema.
Tumehamia
katika site hii mpya na bado tuko katika maboresho,hii ni katika hatua za awali
kabisa kuiboresha site yetu na utoaji wa habari na burudani.Vitu vingi
vitaonekana katika site hii mpya hivi karibuni.Endelea kutembelea www.bantutz.com
0 comments:
Post a Comment