Facebook

Sunday, 1 June 2014

Mama mzazi wa mbunge Zitto Kabwe amefariki dunia.



Screen Shot 2014-06-01 at 12.14.50 PM
Ni taarifa nilizopata asubuhi ya June 1 2014 kuhusu kifo cha mama mzazi wa mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe aitwae Bi Shida ambapo aliethibitisha kifo hicho ni Zitto Kabwe mwenyewe.
 
katemimethsela.blogspot.com inampa pole Zitto Kabwe kwa kipindi hiki kigumu cha kumpoteza mama, Mungu ampe nguvu katika kipindi hiki cha majonzi na taratibu zote za msiba zitakazopatikana nitakufikishia

0 comments:

Post a Comment