Askari wa usalama barabarani, Kinondoni, wakitoa maelezo kwa madereva wanaofanya safari za Makumbusho-Bagamoyo. |
Mwonekano wa kituo kipya cha Makumbusho. |
Stendi ya Makumbusho kabla haijaanza kutumika. |
Wengi walitaka barabara za hapo ziwekwe lami, na wengine wakataka nauli ya kutoka Bagamoyo iongezwe kwani mabasi sasa hayaishii Mwenge bali Makumbusho.
Huduma ya usafiri ikiendelea kama kawaida eneo la Makumbusho. |
Mmoja wa madereva wa daladala akiuliza swali kwa viongozi wa usalama barabarani (hawako pichani). |
Muonekano mpya wa kituo cha Mwenge baada ya kuhamishwa |
Barabara ya kuingilia Makumbusho kwa magari yanayotokea Kawe, Kunduchi, Bunju na maeneo hayo. |
Shimo lililojaa maji katika njia ya kutokea daladala ziendazo Kunduchi, Kawe na Bunju. |
Askari wa usalama barabarani wakiwa katika kituo kipya cha Makumbusho ili kutoa ushauri na miongozo. |
Afisa Mfawidhi wa Sumatra Kanda ya Mashariki, Conrad Shio (kulia) akizungumzia kuhamishwa kwa kituo cha Mwenge kwenda Makumbusho |
0 comments:
Post a Comment