Unaambiwa kuna jamaa mmoja kutoka Nairobi amesababisha baadhi ya
shughuli kusimama kwa saa kadhaa kwenye barabara ya Dedan Kimathi kwa
kuamua kujifunga minyororo kwenye Mnara wa shujaa huyo wa kupigania
uhuru wa Kenya akidai kwamba yeye ni mjukuu wa kimathi ambaye ndiye
sanamu yake iliyowekwa.
Kwenye picha ni maafisa wa Baraza la Jiji la Nairobi waliokuwa
wanamzubaisha ili ajifungue na kushuka chini hata hivyo jamaa amekataa
kujifungua kutoka kwenye Mnara mnara huo anaodai ni wa babu yake.
Ingawa mpaka sasa jina lake bado halijafahamika ameema kwa sauti kwa
walio kusanyika kwamba hatofungua minyororo hadi pale atakaporuhusiwa
kuzungumza na bi.Mukami Kimathi ambaye ni mke wa kimathi kwa sasa yuko
Kinangop kaonti ya Nyandarua ambapo umbali wake ni saa 4 kutoka Jiji la
Nairobi.
Tuko katika maboresho hivi karibuni
blog hii itakuwa ni site ambayo itaitwa www.bantutz.com ni katika hatua za
kuboresha huduma zetu za kutoa habari na burudani.Tutakuja katika muonekano
mpya na bora zaidi.Vitu vizuri vipya usivyotarajia utaviona na kufurahia
kupitia www.bantutz.com....
Mtoto wa kizazi cha "kupandikizwa" azaliwa Sweden
Mwanamke mmoja nchini Sweden amejifungua mtoto kutokana na kizazi alichowekewa kupitia upasuaji.
Mwanamke
huyo mwenye umri wa miaka 36 alizaliwa bila kizazi kabla ya kuwekewa
kizazi cha mwanamke aliyekuwa katika mi…Read More
Mbwa anayepiga kazi kama binadamu.Kutana na Lemon, mbwa anayependa kufanya
kazi za nyumbani kama binaadam. Lemon
hupenda kwenda kuchota maji na anaweza
kulima vizuri kwa kutumia jembe la plau.
Mmiliki wake, Alexander Matitsyn alimnunua
Lemon baada ya kustaafu…Read More
Mwindaji akemewa Facebook
Kendal akiwa na mmoja wa wanyama aliowawinda Afrika kihalali
Kendall Jones ana umri wa miaka 19, kutoka Texas Marekani.
Yuko katika chuo…Read More
MUME ADAI TALAKA BAADA YA KUSHINDWA
"MAJUKUMU YA NDOA"Bwana mmoja jijini Mumbai nchini India,
amepewa talaka yake, baada ya kulalamika
kuwa hawezi kukata "kiu kubwa" aliyokuwa
nayo mke wake ya kufanya tendo la ndoa.
kwa mujibu wa tovuti ya Metro - Mwanaume
huyo akiwa amechoka, a…Read More
0 comments:
Post a Comment