Kwa hiyo Nazizi ametuliza moyo wake kwenye kiota cha mapenzi ya
producer mtanzania, Hery Sappy na wanaona siri haina maana!? Hilo ni
swali ambalo wengi wamejiuliza baada ya picha tata za wawili hao
kuendelea kusambaa huku moja ikiwaonesha kama wanakiss.
Akiongea alipohojiwa na kituo kimoja cha radio nchini, Nazizi amewataka watu kuicha
issue hiyo iendelee kama ilivyo bila kutoa majibu ya moja kwa moja
kuhusu uhusiano wake na producer huyo.
“Hiyo tuiache hivyo hivyo watu wakiguess guess, ndio maana yake
because You know kitu muhimu kwa msanii ni kazi ambayo anafanya.”
Amesema Nazizi.
Hata hivyo alifunguka kuhusu kinachoendelea kati ya wawili hao kwa upande wa pili wa sarafu…kikazi.
“Sappy pia nafanya nae kazi. Pia tumerelease ngoma mpya na yeye juzi.
So, tunafocus kwa kazi sana na ningependa sana watu wafocus pia kwa
music ambayo tunawafanyia.”
Nazizi amemaliza kwa kusema kuwa labda kazi zitakazotoka baadae
zikawa na majibu ya yote ambayo watu wamekuwa wakiuliza kuhusu yeye na
Sappy.
Tuko katika maboresho hivi karibuni
blog hii itakuwa ni site ambayo itaitwa www.bantutz.com ni katika hatua za kuboresha huduma zetu za
kutoa habari,tutakuja katika muonekano mpya na bora zaidi.
Related Posts:
Kanisa Jipya Linalomwabudu Beyonce Laibuka huko Marekani
Back in January we learned that a new Kanye West-inspired religion was
created by a 23-year old man so I guess it should come as no surprise to
learn that a Beyoncé-inspired religion has also been created as well.
Be… Read More
Birthday ya mwigizaji Vicenti Kigosi ray, Johari ampa salamu tata, isome hapa
Leo mwigizaji maarufu nchini Vicent kigosi - Ray
anasherehehea siku yake ya kuzaliwa huku akipata salamu mbalimbali za
pongezi toka kwa mastaa mbalimbali nchini.
Moja ya watu wa kwanza kwa… Read More
Jack Wolper:Sijawahi Lia eti Nimeachwa Nikamwaga Chozi Sababu ya Mwanaume
STAA wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper amefunguka kuwa tangu aanze kujihusisha na masuala ya mapenzi hajawahi kulia.
Akizungumza na mwanahabari wetu, Wolper ambaye ana muonekano wa
‘kigumu’, alisema siku zote anaami… Read More
Mastaa Kumfungia Kazi Mpoki kwa Udhalilishaji Siku ya Kill Awards
KIMENUKA! Komediani aliyebahatika kuwa maarufu Bongo, Mujuni Silvery
'Mpoki' yuko njiani kupandishwa kizimbani kufuatia mastaa waliodai
aliwadhalilisha usiku wa Tuzo za Kili kucharuka na kwenda kwa
mwanasheria wao, I… Read More
Mfahamu vizuri mwigizaji Jacob Steven (JB). Ametoka wapi na historia yake yote kwa ufupi mpaka sasa
Baada ya miaka 13 ya kuwapo katika fani ya sanaa ya
maigizo, hakuna shaka kwamba, Steven Jacob maarufu kama JB, kwa sasa ni
miongoni mwa watu wenye majina makubwa mno katika fani hiyo nchini.… Read More
0 comments:
Post a Comment