Facebook

Friday, 13 June 2014

Rais wa zamani wa Ivory Coast,Gbagbo kushtakiwa na ICC

 Photo: GBAGBO KUSHTAKIWA NA ICC
Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu ICC imetangaza mipango ya kutaka kumshtaki rais wa zamani wa Ivory Coast Laurent Gbagbo. Gbagbo anatuhumiwa kuhusika na ghasia za baada ya uchaguzi alioshindwa mwaka 2010.
Atashtakiwa kwa kosa la uhalifu dhidi ya ubinaadam kufuatia miezi kadhaa ya ghasia.
 
Hivi sasa tunahamia katika site yetu mpya inayoitwa www.bantutz.com ni katika kuboresha huduma zetu za kutoa habari za uhakika na burudani.
 
Related Posts:

0 comments:

Post a Comment