Facebook

Friday, 13 June 2014

Obama:Iraq inahitaji msaada.

Photo: IRAQ INAHITAJI MSAADA: OBAMA
Rais wa Marekani Barack Obama amesema serikali yake inatazama "njia mbalimbali" ikiwemo nguvu za kijeshi kuisaidia Iraq kupambana na wanamgambo.
Obama amesema Marekani ina nia ya kuhakikisha wapiganaji hawachukui tena udhibiti wa Iraq.
Matamshi yake hayo yamekuja baada ya miji ya Mosul na Tikrit kuchukuliwa na wapiganaji wa Ki- Sunni.
Kura ya bunge ya kumpa Waziri Mkuu Nouri al-Maliki madaraka ya dharura ilisuasua baada ya wabunge kutojitokeza.
Wabunge 128 tu kati ya 325 ndio walikuwepo.
Taarifa ambazo hazijathibitishwa siku ya Alhamisi zinasema majeshi ya Iraq yamevurumisha mashambulio ya angani dhidi ya wapiganaji katika miji ya Mosul na Tikrit.

Hivi sasa tunahamia katika site yetu mpya inayoitwa www.bantutz.com ni katika kuboresha huduma zetu za kutoa habari za uhakika na burudani.

Related Posts:

  • Mahakama yazuia unywaji Pombe India. Mahakama ya rufaa nchini India imezuia mpango wa jimbo la Kerala Kusini mwa nchi hiyo kupiga marufuku pombe. Mamia ya wamiliki wa baa walikuwa wamepinga marufuku hiyo ambayo ingeanza kutekelezwa Ijumaa hii kwa kusema kuwa … Read More
  • Mwanaume apata dalili za ujauzito Uingereza.Harry Ashby ni mwanaume wa kwanza nchini Birmingham kupata ruhusa ya kupumzika nyumbani baada ya kusumbuliwa na homa mithili ya mwanamke mja mzito. Amekuwa akipatwa na homa za vipindi hasa nyakati za asubuhi baada ya mchumba … Read More
  • Kanisa kubwa la TB Joshua laporomoka Lagos-NigeriaHabari zilizotufikia hivi Punde kutoka Lagos-Nigeria ni kwamba kanisa la TB Joshua laporomoka.Kanisa hilo lenye ghorofa sita limeporomoka huku chanzo chake hadi hivi sasa hakijajulikana. Inasadikiwa maelfu ya watu wamefia hum… Read More
  • Boko Haram wauteka mji mkubwa wenye,watu wengi Nigeria.Wapiganaji wa kiisilamu wa Boko Haram wameuzingira mji wa Maiduguri , mji rasmi wa jimbo la Borno Kaskazini Mashariki ya Nigeria. Wazee wa vijiji wametahadharisha kuwa jeshi linahitaji kuweka ulinzi thabiditi katika mji huo a… Read More
  • "Mungu wa Kihindi" awekwa kwenye vitambulisho India.Maafisa wa utawala nchini India, wanachunguza ambavyo kitambulisho cha elektroniki kimetengezwa kikiwa na picha ya Hanuman mungu wa kihindi na kutumwa kwa njia ya posta. Kitambulisho hicho kina picha ya mtu anayejulikana kama… Read More

0 comments:

Post a Comment