Msanii maarufu wa miondoko ya kufokafoka - rap- nchini Marekani Eve,
ameoana rasmi na mchumba wake Maximillion Cooper, katika mji wa Ibiza
nchini Spain.
Cooper ni muasisi wa mashindano ya mbio za magari za Gumball 3000. Wawili hao walifunga ndoa Krismasi ya mwaka jana.
Cooper ni muasisi wa mashindano ya mbio za magari za Gumball 3000. Wawili hao walifunga ndoa Krismasi ya mwaka jana.
Tumehamia
katika site hii mpya na bado tuko katika maboresho,hii ni katika hatua za awali
kabisa kuiboresha site yetu na utoaji wa habari na burudani.Vitu vingi
vitaonekana katika site hii mpya hivi karibuni.Endelea kutembelea www.bantutz.com
0 comments:
Post a Comment