
Makundi mengi ya vijana ndani ya mtandao wa facebook yamekuwa na imani kuwa msanii Rehema Chamila anaweza kuwa mtetezi wao mkubwa endapo ataamua kuingia kwenye siasa...
Vijana
hao wanaamini kuwa Ray C kwa sasa amepitia changamoto nyingi
hivyo wanaamini kama akipewa nafasi ya kuingia bungeni inaweza
kuwa chachu ya yeye kupigana na watu wanaoingiza madawa ya
kulevya nchini na kuwaokoa vijana wengi wanaopotea kutokana na
matumizi ya dawa hizo
"Ray
C kwa nini asiingie tu kwenye siasa na akatutetea kwenye
mambo ambayo hata yeye alikutana nayo hadi yakataka kumtoa
roho, tunaamini anaweza endapo ataamua kufanya hivyo" alidai kijana mmoja ndani ya mtandao wa facebook.
Tuko katika maboresho hivi karibuni
blog hii itakuwa ni site ambayo itaitwa www.bantutz.com ni katika hatua za
kuboresha huduma zetu za kutoa habari na burudani.Tutakuja katika muonekano
mpya na bora zaidi.Vitu vizuri vipya usivyotarajia utaviona na kufurahia
kupitia www.bantutz.com....
0 comments:
Post a Comment