Mwenyekiti wa Bongo Muvi, Steve Nyerere, akiwasili katika Hospitali ya
Kairuki kusubiri mwili wa marehemu. Steve alivalia tisheti yenye ujumbe
'Why always me'
Mke wa marehemu Tyson, Beatrice Shayo akiwa na simanzi wakati akiusubiri mwili wa mumewe.
Wema Sepetu akihojiwa na mwanahabari wakati wa kupokea mwili wa Tyson.
Mwigizaji Aunt Ezekiel naye alikuwepo kupokea mwili wa Tyson.
0 comments:
Post a Comment