Facebook

Friday, 5 September 2014

Diamond awaomba mashabiki kumpigia kura Tuzo za Channel O

 First of all, i would like to say thanks to all media in and outside of my country...the whole Music industry... without forgetting my lovely and die hard Fans.. I believe, your love and support  are what makes me be where i am today... Thank you @ChannelOafrica for blessing me with this....Africa! it's time to vote Now!!!!!
http://channelo-awards.dstv.com?
  
[kwanza kabisa nitangulize shukran zangu nyingi kwa Media zote nje na ndani ya nchi... wadau na bila haswa kuwasahau nyinyi mashabiki zangu pendwa.. naamini nguvu na support zenu za kizalendo mnazozidi kunipa ndio zimepelekea kijana wenu leo kufikia hapa...... niwashkuru pia @channeloafrica kwa fursa hii.... Africa! Ni muda wa Kupiga kura sasa!!!!] #CHOAMVA2014
http://channelo-awards.dstv.com?
 Ni hatua kubwa anazozidi kuzipiga msanii wa kizazi kipya nchini,Diamond Platnumz,ambaye hivi sasa anaipeperusha vyema bendera ya Taifa hili.
Ni katika hatua nyingine ambayo mafanikio yanazidi kusogea,Diamond kupitia ukurasa wake wa facebook leo hii amepost hiki,

"First of all, i would like to say thanks to all media in and outside of my country...the whole Music industry... without forgetting my lovely and die hard Fans.. I believe, your love and support are what makes me be where i am today... Thank you @ChannelOafrica for blessing me with this....Africa! it's time to vote Now!!!!! http://channelo-awards.dstv.com?
[kwanza kabisa nitangulize shukran zangu nyingi kwa Media zote nje na ndani ya nchi... wadau na bila haswa kuwasahau nyinyi mashabiki zangu pendwa.. naamini nguvu na support zenu za kizalendo mnazozidi kunipa ndio zimepelekea kijana wenu leo kufikia hapa...... niwashkuru pia @channeloafrica kwa fursa hii.... Africa! Ni muda wa Kupiga kura sasa!!!!] "
‪#‎CHOAMVA2014‬ http://channelo-awards.dstv.com?
Chukua hatua mapema,kamata fursa na sambaza uppendo,ingia katika website tajwa hapa juu na kisha onyesha upendo kwa Diamond Platnumz,sisi binafsi BantuTz Entertainment tumeshaonyesha upendo.

Related Posts:

  • TANZIA ABDU BONGE AFARIKI DUNIA.Aliyewahi kuwa Meneja wa wasanii na mwanzilishi wa kundi la Tip Top Connection, Abdu Bonge amefariki dunia ghafla usiku Wa kuamkia leo akiwa nyumbani kwake. Mmoja wa wasanii aliye kundi la Tip Top Connection Madee, amesema ku… Read More
  • BantuTz MAGAZETINI:SOMA KILICHOANDIKWA KATIKA MAGAZETI YA LEO MACHI 4     BantuTz MAGAZETINI:Ni miongoni mwa huduma bora kabisa tunazozitoa ili wewe mdau wa Bantu usipitwe na habari,stori au taarifa yoyote ile.Tunakuletea kila tunachokipata kwa wakati na muda muafaka.Soma kilic… Read More
  • BantuTz MAGAZETINI:SOMA KILICHOANDIKWA KATIKA MAGAZETI YOTE YA LEO MACHI 7      BantuTz MAGAZETINI:Ni miongoni mwa huduma bora kabisa tunazozitoa ili wewe mdau wa Bantu usipitwe na habari,stori au taarifa yoyote ile.Tunakuletea kila tunachokipata kwa wakati na muda muafaka.Soma… Read More
  • Young Dee alia na mitandao  Staa wa Muziki Young Dee, ametangaza kuwa katika mpango wa kuanza kuwachukulia hatua wasambazaji wa kazi za wasanii mtandaoni ambao huzichukua kazi zao kutoka katika mfumo wa kulipia na kuziweka wazi kwa kila mtu kuzi… Read More
  • GWAJIMA AJISALIMISHA POLISI.Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Uzima na Ufufuo, Josephat Gwajima amejisalimisha kituo cha polisi kati kuhojiwa juu ya kutoa lugha chafu dhidi ya Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Muadhama Polycarp Ka… Read More

0 comments:

Post a Comment