Facebook

Monday, 2 June 2014

AFCON 2015-MOROCCO:Tanzania yaitoa Zimbabwe huko Harare


AFCON_2015_LOGO-MOROCCO 





















TAIFA STARS jana huko Harare, ilifanikiwa kutoka Sare ya Bao 2-2 na Zimbabwe katika Mechi ya Marudiano ya Raundi ya Pili ya Mtoano ya AFCON 2015 na hivyo kufuzu kusonga Raundi ya Tatu ya Mtoano kwa Jumla ya Mabao 3-2 baada ya kushinda Mechi ya Kwanza Bao 1-0.
Kwenye Raundi ya Tatu, Taifa Stars watacheza na Mshindi kati ya Msumbiji na South Sudan ambao katika Mechi yao ya kwanza Mozambique, wakicheza Nyumbani, waliichabanga South Sudan Bao 5-0.
Leo hii, Zimbabwe walitangulia kupata Bao na Stars kusawazishwa kupitia Cannavaro na kisha Thomas Ulimwengu kufunga Bao la Pili lakini Zimbabwe wakasawazisha na Mechi kwisha 2-2.
RAUNDI YA PILI YA MTOANO
[Kwenye Mabano Matokeo Mechi ya Kwanza]
Jumamosi Mei 31
Uganda 1 Madagascar 0 [2-2, Uganda yafuzu kwa Goli la Ugenini]
Botswana 1 Burundi 0 [1-0]
Rwanda 3 Libya 0 [3-0]
Sierra Leone 1 Swaziland 0 [2-1]
Guinea-Bissau 3 Central African Republic 1 [3-1]
Jumapili Juni 1
Zimbabwe 2 Tanzania 2 [2-3]
Lesotho 2 Liberia 0 [2-1]
14:30 Congo v Namibia [0-1]
15:00 Benin v Sao Tome And Principe [2-0]
15:00 Chad v Malawi [0-2]
16:00 Equatorial Guinea v Mauritania [0-1]
HABARI ZA AWALI:

AFCON 2015-MOROCCO: DROO YAFANYIKA!
TANZANIA v ZIMBABWE RAUNDI YA 2, MSHINDI KUCHEZA NA MOZAMBIQUE/SOUTH SUDAN!
DROO ya Mashindano ya Mataifa ya Africa, rasmi kama Orange Africa Cup of Nations Morocco 2015, ambayo Fainali zake zitachezwa huko Morocco kati ya Tarehe 17 Januari hadi 8 Februari 2015, imefanyika hii Leo huko Cairo, Egypt.
Nchi 51 zitashiriki Mashindano haya ambapo Mauritania na South Sudan zilishinda toka Raundi ya Kwanza na kutinga Raundi ya Pili ya Mtoano ambayo Tanzania itacheza na Zimbabwe.
Washindi 14 wa Raundi ya Pili ya Mtoano wataingia Raundi ya Tatu ya Mtoano ili kupata Timu 7 zitakazosonga kwenye Makundi ambayo hii Leo pia yamepangwa.
Ikiwa Tanzania itaitoa Zimbabwe basi kwenye Raundi ya Tatu ya Mtoano itacheza na Mshindi kati ya Mozambique na South Sudan na Tanzania ikipita hapo itaingia KUNDI F ambako ziko Zambia, Cape Verde na Niger.
Yapo Makundi 7 ambapo Mshindi wa Kila Kundi na Mshindi wa Pili wa Kila Kundi pamoja na Timu moja iliyofuzu Nafasi ya 3 Bora katika Makundi ndizo zitaingia Fainali kuungana na Morocco na kufanya idadi ya Timu 16 kwenye Fainali.
RATIBA/MAKUNDI:
Nchi ambazo zimeingia Makundi moja kwa moja: Nigeria, Ghana, Ivory Coast, Zambia, Burkina Faso, Mali, Tunisia, Algeria, Angola, Cape Verde, Togo, Egypt, South Africa, Cameroon, DR Congo, Ethiopia, Gabon, Niger, Guinea, Senegal and Sudan.
RAUNDI YA PILI YA MTOANO
Mechi Na 1: Liberia vs Lesotho
Mechi Na 2: Kenya vs Comoros
Mechi Na 3: Madagascar vs Uganda
Mechi Na 4: Mauritania vs Equatorial Guinea
Mechi Na 5: Namibia vs Congo
Mechi Na 6: Libya vs Rwanda
Mechi Na 7: Burundi vs Botswana
Mechi Na 8: Central African Republic vs Guinea Bissau
Mechi Na 9: Swaziland vs Sierra Leone
Mechi Na 10: Gambia vs Seychelles 
Mechi Na 11: Sao Tome e Principe vs Benin
Mechi Na 12: Malawi vs Chad
Mechi Na 13: Tanzania vs Zimbabwe
Mechi Na 14: Mozambique vs South Sudan
**Mechi za Kwanza 16,17,18 Mei 2014
**Mechi za Marudiano 30,31 Mei au 1 Jun1 2014
RAUNDI YA TATU YA MTOANO
**WASHINDI 14 wa Raundi ya Pili ya Mtoano watacheza Raundi hii
TIMU
MECHI NA
TIMU
Mechi ya Kwanza
Mechi ya Pil
Mshindi Mechi Na 1
1/2
Mshindi Mechi Na 2
18–20 Julai
1–3 Agosti
Mshindi Mechi Na 3
3/4
Mshindi Mechi Na 4
18–20 Julai
1–3 Agosti
Mshindi Mechi Na 5
5/6
Mshindi Mechi Na 6
18–20 Julai
1–3 Agosti
Mshindi Mechi Na 7
7/8
Mshindi Mechi Na 8
18–20 Julai
1–3 Agosti
Mshindi Mechi Na 9
9/10
Mshindi Mechi Na 10
18–20 Julai
1–3 Agosti
Mshindi Mechi Na 11
11/12
Mshindi Mechi Na 12
18–20 Julai
1–3 Agosti
Mshindi Mechi Na 13
13/14
Mshindi Mechi Na 14
18–20 Julai
1–3 Agosti
MAKUNDI:
KUNDI A
-Nigeria
-South Africa
-Sudan
-Mshindi 5/6
KUNDI B
-Mali
-Algeria
-Ethiopia
Mshindi 11/12
KUNDI C
-Burkina Faso
-Angola
-Gabon
-Mshindi 1/2
KUNDI D
-Ivory Coast
-Cameroun
-Congo DR
-Mshindi 9/10
KUNDI E
-Ghana
-Togo
-Guinea
Mshindi 3/4
KUNDI F
-Zambia
-Cape Verde
-Niger
-Mshindi 13/14
KUNDI G
-Tunisia
-Egypt
-Senegal
-Mshindi 7/8
**WASHINDI wa kila Kundi pamoja na Mshindi wa Pili wa kila Kundi na Timu 1 Bora iliyo nafasi ya Tatu watatinga kucheza Fainali na kujumuika na Wenyeji Morocco kufanya Jumla ya Nchi 16.

RATIBA:
Steji
Mechi
Tarehe
Raundi ya Awali
Raundi ya Awali, Mechi ya 1
11–13 Aprili 2014
Raundi ya Awali, Mechi ya 2
18–20 Aprili 2014
Raundi ya Pili, Mechi ya 1
16–18 Mei 2014
Raundi ya Pili, Mechi ya 2
30 Mei–1 Juni 2014
Raundi ya Tatu, Mechi ya 1
18–20 Julaiai 2014
Raundi ya Tatu, Mechi ya 2
1–3 Agosti 2014
Makundi
Mechi ya 1
5–6 Septemba 2014
Mechi ya 2
10 Septemba 2014
Mechi ya 3
10–11 Oktoba 2014
Mechi ya 4
15 Oktoba 2014
Mechi ya 5
14–15 Novemba 2014
Mechi ya 6
19 Novemba 2014

Endelea kutembelea katemimethsela.blogspot.com kupata habari mbalimbali za michezo kwa muda na wakati muafaka.

0 comments:

Post a Comment