MTOTO Nasrah Rashid (4) aliyekuwa akitibiwa katika Hospitali ya Taifa
Muhimbili baada ya kuugua na kupata ulemavu kwa kufungiwa kwenye boksi
miaka minne amefariki dunia. Nasrah alifichwa kwenye boksi na mama yake
mkubwa aitwaye Mariamu Said mkazi wa Kiwanja cha Ndege, Morogoro tangu
akiwa na miezi tisa baada ya mama yake mzazi kufariki.
***MUNGU AILAZE ROHO
YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI. AMEN!***
0 comments:
Post a Comment