Dondoo muhimu kuhusiana na kombe la dunia..!
Je wafahamu kuwa.......
Kila Kombe la Dunia lina taswira yake ya kipekee. Tarswira hiyo
huoneshwa kupitia nembo maalum. Nembo hiyo rasmi ya Kombe la Dunia
huwakilisha michuano yenyewe na nchi inayoandaa michuano hiyo …Read More
Mganga wa Ronaldo aelekea Brazil kummalizia..
Huyu ndiyo yu;e mganga kutoka Ghana ADAYE SEMA.Anadai yeye ndio chanzo cha majeraha yote aliyonayo Ronaldp.Kwa kifupi anadai amemroga Ronaldo na hapa ndio anakwea pepea kuelekea Brazil kumroga kabisa ili asichez…Read More
Dondoo muhimu kuhusiana na Kombe la dunia ncini Brazil
Je wafahamu kuwa.... Bingwa wa Kombe la Dunia 2014 atashinda dola milioni 35. Kiasi hicho ni kikubwa zaidi kuliko kiasi walichoshinda Spain, mabingwa wa Kombe la Dunia miaka minne iliyopita. Spain wa…Read More
Jennifer Lopez kutoshiriki ufunguzi wa kombe la dunia Brazil
Mwanamuziki mashuhuri duniani Jennifer Lopez, amejiondoa katika shamra
shamra za ufunguzi wa fainali za kombe la dunia ambazo zitafanyika mjini
Sao Paulo siku ya Al-khamisi, kabla ya mchezo wa kwanza fainali hizo
ambao ut…Read More
Yule mganga wa Ghana aendelea kumtengeneza Cristiano Ronaldo!
Maneno ya mganga wa kienyeji wa Ghana, Nana Kwaku Bonsam, yameanza
kudhihirika baada ya uongozi wa timu ya taifa ya Ureno kuthibitisha
taarifa za mshambuliaji Cristiano Ronaldo, kutokuwa sehemu ya kikosi cha
timu ya tai…Read More
0 comments:
Post a Comment