Facebook

Sunday, 8 June 2014

Hizi hapa Picha za Red Carpert MTV MAMA jinsi Diamond na Wema walivyo funika

Diamond na Wema wakipiga picha za Red Carpet katika tuzo za MTV jana usiku huu mjini Durban South Afrika, wadau wamempongeza designer wao kwa mavazi mazuri yaliyo match vizuri, kuanzia nguo hadi saa na bangili za mkono.
NI SUPERB!


Tuko katika maboresho hivi karibuni blog hii itakuwa ni site ambayo itaitwa www.bantutz.com ni katika hatua za kuboresha huduma zetu za kutoa habari na burudani.Tutakuja katika muonekano mpya na bora zaidi.Vitu vizuri vipya usivyotarajia utaviona na kufurahia kupitia www.bantutz.com....

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment